💰
GM KUKU POINT
BEI ZETU
Bei Nafuu • Ubora wa Juu
Orodha ya Bei
Tunatoa bidhaa bora za kuku wa kienyeji kwa bei rafiki.
🐔
Kuku wa Kienyeji
Tsh 15,000 - 20,000
Kuku mmoja wa kienyeji kulingana na ukubwa na uzito.
Maarufu
🥚
Mayai
Tray 1 = Tsh 15,000
Yai 1
Tsh 500
Tray 1
Tsh 15,000
🐣
Vifaranga
Siku 1
Tsh 2,000
Siku 7
Tsh 2,300
Siku 30
Tsh 3,000
Taarifa Muhimu
Bei zinaweza kubadilika kulingana na upatikanaji wa bidhaa, msimu wa uzalishaji na idadi ya bidhaa zinazoagizwa.